GET /api/v0.1/hansard/entries/1067966/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1067966,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1067966/?format=api",
    "text_counter": 133,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Matuga, ANC",
    "speaker_title": "Hon. Kassim Tandaza",
    "speaker": {
        "id": 13287,
        "legal_name": "Kassim Sawa Tandaza",
        "slug": "kassim-sawa-tandaza"
    },
    "content": "kwamba wakati umefika watu waweze kubadilisha mkondo ili tuweze kunufaika tena, tuwe na usalama na wale ambao wametengwa kwa muda nao waweze kupata afueni. Kwa hayo machache, naunga mkono na naunga na miguu yangu yote miwili."
}