GET /api/v0.1/hansard/entries/1067991/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1067991,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1067991/?format=api",
    "text_counter": 158,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kilifi CWR, ODM",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Gertrude Mwanyanje",
    "speaker": {
        "id": 13245,
        "legal_name": "Gertrude Mbeyu Mwanyanje",
        "slug": "gertrude-mbeyu-mwanyanje"
    },
    "content": "Zile pesa za kaunti ambazo zimeandikwa zitatoka asilimia 15 mpaka asilimia 35 ni nyingi sana zikifika kwa mwananchi. Zitasaidia sana. Tumeona sana ule usaidizi asilimia 15 umetekeleza, na hasa pale kwetu Jimbo la Kilifi. Mambo mengi yamebadilika. Mfano ni mambo ya afya, ukulima na elimu. Kwa niaba ya watu wa Kilifi, nimesimama kuunga mkono Mswada huu, kwa sababu pesa ikiongezwa katika Jimbo hili kutoka asilimia 15 mpaka 35, sisi tutanufaika."
}