GET /api/v0.1/hansard/entries/1067992/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1067992,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1067992/?format=api",
    "text_counter": 159,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kilifi CWR, ODM",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Gertrude Mwanyanje",
    "speaker": {
        "id": 13245,
        "legal_name": "Gertrude Mbeyu Mwanyanje",
        "slug": "gertrude-mbeyu-mwanyanje"
    },
    "content": "Magavana wengi wamefikisha vipindi vyao vya pili. Wangeomba waongezewe muda ili waendeleze ile kazi wamefanya kwa miaka minane saa hizi. Kwa sababu lazima wapishe uongozi, najua wengi wataendeleza hatma zao za kazi ili wananchi wapate faida zaidi."
}