GET /api/v0.1/hansard/entries/1067993/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1067993,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1067993/?format=api",
    "text_counter": 160,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kilifi CWR, ODM",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Gertrude Mwanyanje",
    "speaker": {
        "id": 13245,
        "legal_name": "Gertrude Mbeyu Mwanyanje",
        "slug": "gertrude-mbeyu-mwanyanje"
    },
    "content": "Nataka kuzungumzia kuhusu vijana wakike na wakiume kuweza kupata riba na kufanya kazi. Umri wa kijana wa darasa la tatu ni miaka saba. Mswada huu utaleta manufaa makubwa sana kwa vijana. Hata tukirudi mashinani, natumaini kuwa Mswada huu utapita. Tutaungwa mkono na Wakenya wengi, kwa sababu wao wanafaida ndani ya Mswada huu."
}