GET /api/v0.1/hansard/entries/1067997/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1067997,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1067997/?format=api",
    "text_counter": 164,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kilifi CWR, ODM",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Gertrude Mwanyanje",
    "speaker": {
        "id": 13245,
        "legal_name": "Gertrude Mbeyu Mwanyanje",
        "slug": "gertrude-mbeyu-mwanyanje"
    },
    "content": "Kwa heshima ya watu wa Jimbo la Kilifi na Pwani nzima, tunaunga mkono Mswada huu kwa sababu tutapata faida. Mswada huu utaongeza maeneo Bunge manne katika Jimbo la Kilifi. Utaleta faida kwetu. Yale maeneo Bunge yote ambayo yameongezwa yataleta faida kwa Wakenya. Tunaomba zaidi kwa viti vikuu, gavana akiwa mwanamke, mdogo wake awe mwanaume. Rais akiwa mwanaume, mdogo wake awe mwanamke. Sisi tutakuwa na furaha kama viongozi The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}