GET /api/v0.1/hansard/entries/1068461/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1068461,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1068461/?format=api",
    "text_counter": 628,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
    "speaker": {
        "id": 786,
        "legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
        "slug": "ruweida-mohamed-obo"
    },
    "content": " Kwa majina naitwa Captain Ruweida Mohamed, Mbunge wa Kike was Kaunti ya Lamu. Kwa sababu tunaongezwa milioni 400 hizo pia ni pesa. Kwa niaba ya watu wangu wa Lamu, Rais wetu mpendwa Uhuru Muigai Kenyatta na Gideon Moi, napiga kura ya ndio."
}