GET /api/v0.1/hansard/entries/1068518/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1068518,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1068518/?format=api",
"text_counter": 685,
"type": "speech",
"speaker_name": "Cherangany, JP",
"speaker_title": "Hon. Joshua Kutuny",
"speaker": {
"id": 61,
"legal_name": "Joshua Serem Kutuny",
"slug": "joshua-kutuny"
},
"content": " Mhe. Spika, nashukuru kwa nafasi hii. Ni furaha mpwitompwito, kama mtu aliyepata mwana, kwa fursa hii kusimama hapa mbele kwa niaba ya wakaaji ninaowaakilisha wa Bunge la Cherengany. Kama Naibu Mkuu wa chama tawala cha Jubilee na mkereketwa ambaye amepata manufaa kupata maeneo Bunge mawili, kaskazini na kusini Cherengany, napiga kura ya ndio bila kulalamika."
}