GET /api/v0.1/hansard/entries/1068908/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1068908,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1068908/?format=api",
"text_counter": 126,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Katika kufanya haya marekebisho, ni lazima kuwa Bunge, ambalo ndilo taasisi inayotunga sheria katika Jamhuri ya Kenya, ichunguze yale marekebisho kuhakikisha kuwa yanaambatana na sheria. Iwapo haiambatani na Katiba, tuyarekebishe ili tuwe na Katiba inayoambatana na Katiba ilioko sasa. Hatuwezi kusema kwamba Bunge iwe mshangiliaji katika marekebisho haya."
}