GET /api/v0.1/hansard/entries/1068914/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1068914,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1068914/?format=api",
    "text_counter": 132,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Cherargei",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13217,
        "legal_name": "Cherarkey K Samson",
        "slug": "cherarkey-k-samson"
    },
    "content": "anatuchanganya kiasi. Ningependa aeleze kinaga ubaga swala la kuwa Bunge liko na uwezo na linaweza kurekebisha na pia anasema kuwa hata kama Bunge halitapitisha Mswada huu, ni lazima uamuliwe kwa kura ya maoni."
}