GET /api/v0.1/hansard/entries/1068937/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1068937,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1068937/?format=api",
    "text_counter": 155,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13223,
        "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
        "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii ili kuchangia huu Mswada wa mageuzi ya Katiba. Kwanza ningependa kujibu swali ambalo limeulizwa kwamba kama huu ndio wakati mufti wa kubadilisha Katiba. Ningependa kusema kuwa wakati tulipitisha Katiba ya 2010, tulijua kwamba kuna asilimia 20 ambayo haikuwa nzuri. Tulipitisha hivyo hivyo ili wakati ukifika tutengeneze ile asilimia 20 ambayo haikuwa nzuri."
}