GET /api/v0.1/hansard/entries/1068946/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1068946,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1068946/?format=api",
    "text_counter": 164,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13223,
        "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
        "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
    },
    "content": "Kenya Urban Roads Authority (KURA) na Kenya Rural Roads Authority (KeRRA) yanaweza kuendea serikali za ugatuzi kwani barabara zinazoshughulikiwa na mashirika hayo zote ziko katika serikali za ugatuzi. Pesa zinazoendea mashirika hayo na mengine mengi yanafaa kuendea serikali za ugatuzi ili mchango wa pesa iongezeke mpaka asili mia 35."
}