GET /api/v0.1/hansard/entries/1068947/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1068947,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1068947/?format=api",
    "text_counter": 165,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13223,
        "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
        "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
    },
    "content": "Bw. Spika, pesa zinazoendea Wizara za Kilimo, Afya na Michezo pia zinafaaa kuendea serikali za ugatuzi kwani hayo ni mambo yanayoshughulikiwa na serikali hizo. Kwa mfano, Wizara ya Michezo ina pesa nyingi mpaka wanalazimika kupatia serikali za ugatuzi misaada ya kujenga viwanja vya michezo. Kwa nini pesa hizo zisipewe serikali za ugatuzi ili zifanyiwe bajeti na serikali hizo? Kwa nini pesa zinazobaki katika Wizara ya Kilimo zisiendee serikali za ugatuzi ilhali maswala ya ukulima zinashughulikiwa na serikali za ugatuzi?"
}