GET /api/v0.1/hansard/entries/1068950/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1068950,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1068950/?format=api",
    "text_counter": 168,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13223,
        "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
        "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
    },
    "content": "Bw. Spika, jambo lingine linalonihimiza niunge mkono Mswada huu wa BBI ni kwamba linapendekeza pesa za CDF katika katiba. Nilitangulia kusema kwamba Kaunti ya Taita-Taveta ina maeneo mbunge manne na kila eneo bunge linapata zaidi ya Kshs130 milioni kila mwaka. Pesa za CDF sikitambulika kikatiba, tunahuakika kwamba hautawahi kupoteza pesa hizo za CDF zinazosaidia wananchi wengi kugharamia karo za shule, kujenga mashule na kutimiza mandeleo mengine mengi yanayo husika na elimu vile usalama."
}