GET /api/v0.1/hansard/entries/1068954/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1068954,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1068954/?format=api",
"text_counter": 172,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mwaruma",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13223,
"legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
"slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
},
"content": "Bw. Spika, mfuko wa kuendeleza kata au Ward Development Fund pia unahakikisha kwamba pesa za maendeleo zitafikia kila kata. Pesa hizo zinawakilisha kwamba kila kata inapata pesa za maendeleo hata kama mwakilishi wa kata hiyo hamuungi mkono gavana wa kaunti hiyo. Ninamshukuru Sen. Kang’ata aliyeleta Mswada wa County Wards Development Equalisation Fund Bill, 2018 katika Bunge hili. Isipokuwa Mswada huo haukupita, ninafuraha kwamba Mswada huu wa BBI unapendekeza kutambua pesa hizo kikatiba. Namsihi Sen. Kang’ata wa Murang’a aunge Mswada huu mkono kwani unazingatia maswala ambayo amekuwa akipigania hapa Bungeni."
}