GET /api/v0.1/hansard/entries/1068955/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1068955,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1068955/?format=api",
"text_counter": 173,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mwaruma",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13223,
"legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
"slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
},
"content": "Jambo lingine nzuri katika Mswada huu wa BBI ni kwamba kunahakikisho kwamba kutakuwa na usawa wa kijinsia. Mimi ni mwanaharakati wa usawa wa kijinsia. Nina furaha kwamba Mswada huu wa BBI ukipita, Bunge zetu zote zitakuwa na usawa wa jinsia. Mwaka uliopita, mahakama ilisema ya kwamba Bunge livunjiliwe mbali kwa sababu lilikuwa limeshindwa kupitisha sheria ambayo ingehakikisha usawa wa jinsia katika Bunge. Ilikuwa hata tungelivunja Bunge, watu wanaochagua ni walewale wanacnhi wetu. Hawachagui wakizingatia usawa. Building Brides Iniatieve inasema hatuwezi kuwa tunaendelea huku tumeacha wananchi wengi ama nusu yao nyuma ambao ni wanawake, walemavu na vijana."
}