GET /api/v0.1/hansard/entries/1068956/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1068956,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1068956/?format=api",
"text_counter": 174,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mwaruma",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13223,
"legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
"slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
},
"content": "Pia, ninaunga Mswada huu mkono kwa sababu Mawaziri watakuwa hapa Bungeni. Mara kwa mara tumeuliza mwaswali yanayohusiana na wananchi wetu yajibiwe lakini tumepata shida kupata Mawaziri. Wengine hawataki kuja Bungeni kujibu maswali. Tukiwa na Waziri Mkuu ama Mawaziri Bungeni, itakuwa rahisi kupata majibu kwa maswali tunayouliza Bungeni."
}