GET /api/v0.1/hansard/entries/1068977/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1068977,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1068977/?format=api",
    "text_counter": 195,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Zawadi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13176,
        "legal_name": "Christine Zawadi Gona",
        "slug": "christine-zawadi-gona"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika, kwa kunipa nafasi hii na mimi nichangie katika Mswada huu wa marekebisho ya Katiba. Mambo mapya hukumbusha ya kale. Wakati wa kupitishwa kwa hii Katiba ya sasa, nilikuwa upande wa kupinga na nililkuwa na sababu zangu. Hata hivyo, Mungu si athumani, Katiba ilipita. Baada ya kupita, nimeona kumbe ninakosa mengi mazuri. Nilikuwa mstari wa kwanza kupinga hii Katiba na pia nilikuwa mstari wa kwanza kuwa katika waliobahatika kuwa wabunge katika Mabunge wa Kaunti. Nikiwa mbunge huko, nilikuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Afya na nikabahatika kutembelea hospitali"
}