GET /api/v0.1/hansard/entries/1068980/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1068980,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1068980/?format=api",
"text_counter": 198,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Zawadi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13176,
"legal_name": "Christine Zawadi Gona",
"slug": "christine-zawadi-gona"
},
"content": "Bw. Spika, ninaunga mkono kwamba wanawake wanawajibika kiasi fulani. Kwa mafano, haya mapendekezo ya Katiba yamesema kutakuwa na Seneta mwanamke. Tutakuwa na wanawake 47 tukiongezea na labda wanaume 47 watakaokuwepo iwapo haya mapendekezo yatapitishwa."
}