GET /api/v0.1/hansard/entries/1068982/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1068982,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1068982/?format=api",
    "text_counter": 200,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Zawadi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13176,
        "legal_name": "Christine Zawadi Gona",
        "slug": "christine-zawadi-gona"
    },
    "content": "Mhe. Spika, nashukuru kwa Katiba ambayo tuko nayo. Nikiwa Seneti, sina uwezo wa kutembea kaunti nzima, lakini nikiwa kwenye bunge la kaunti, nilitembea. Waheshimiwa wengi walikuwa na miradi yao. Hatukuwa tunajuwa majosho ya ng’ombe. Josho la ng’ombe ni ‘cattle dip.’ Sasa hivi kuna majosho mengi yamejengwa. Wale ambao hawana uwezo wa kuosha ng’ombe wao ama kuwapa dawa, wanaenda katika majosho yale kuwaosha ng’ombe wao."
}