GET /api/v0.1/hansard/entries/1068985/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1068985,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1068985/?format=api",
"text_counter": 203,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Zawadi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13176,
"legal_name": "Christine Zawadi Gona",
"slug": "christine-zawadi-gona"
},
"content": "pesa za maendeleo---. Sasa hivi, ni gavana ambaye anawapea. Gavana asipopenda, hakuna pesa wanazopata. Iwapo hii Katiba itapita, Mbunge wa Kaunti atakuwa na pesa yake. Atafanya miradi kulingana na ile kata yake anayotoka. Atazingatia upungufu katika kata yake akifanya maendeleo na hakuna mtu atamwingilia."
}