GET /api/v0.1/hansard/entries/1068992/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1068992,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1068992/?format=api",
    "text_counter": 210,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Zawadi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13176,
        "legal_name": "Christine Zawadi Gona",
        "slug": "christine-zawadi-gona"
    },
    "content": "inasemaje? Sikuisoma vizuri au sijapata nafasi ya kuisoma vizuri. Najua ipo lakini sijui imesemwa vipi. Hapo siwezi kujua. Nataka tu ijulikane kwamba bahari ndio uti wa mgongo wetu, sisi watu wa pwani. Tunaitengemea kwa kila kitu; ndio shamba yetu kubwa ya kahawa. Labda ndio shamba yetu kubwa ya majani chai na sukari. Kwa hivyo, naamini na ninataka niamini kwamba imeangaliwa vizuri. Mwananchi wa pwani hatajiona ameachwa upande wa kiuchumi bali amekumbukwa."
}