GET /api/v0.1/hansard/entries/1068993/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1068993,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1068993/?format=api",
"text_counter": 211,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Zawadi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13176,
"legal_name": "Christine Zawadi Gona",
"slug": "christine-zawadi-gona"
},
"content": "Mhe. Spika, kwa ule muda mchache ambao niko nao, wakati tunapoanza safari kama tunaenda mahali, na tuko karibu kupanda gari, huwa Tunasema: ‘Ewe Mwenyezi Mungu, tujalie tufike salama.’ Hii ni kwa sababu, vyombo tunavyosafiria vimetengenezwa na mwanadamu. Nasema hivyo kwa sababu hii Katiba imetengenezwa na mwanadamu, haikunitengenezwa na Mungu wala kuanguka kutoka binguni. Kwa hivyo, haitakosa dosari hapa na pale kwa sababu ni mwanadamu aliyetengeneza na mwanadamu si kamili. Kwa sababu mwanadamu si mkamilifu na ametunga hii sheria ambayo tumeona"
}