GET /api/v0.1/hansard/entries/1068995/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1068995,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1068995/?format=api",
"text_counter": 213,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Zawadi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13176,
"legal_name": "Christine Zawadi Gona",
"slug": "christine-zawadi-gona"
},
"content": "mapendekezo yake, haiatakosa kasoro. Hakuna kitu kilicho tengenezwa na mwanadamu ambacho hakina kasoro. Basi tuangalie makubwa na madogo; je, kasoro ni nyingi ama faida ni nyingi? Kwangu, faida ni nyingi na itafaidisha wananchi wa Kaunti ya Kilifi. Nikiangalia kwa kina hakuna tunacho poteza bali ni kufaidika tunafaidika. Naungana na wenzangu kuunga mapendekezo iliyoletwa mkono."
}