GET /api/v0.1/hansard/entries/1069686/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1069686,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1069686/?format=api",
"text_counter": 427,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bi Naibu Spika, asante sana kwa kunipa fursa hii. Kwanza namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupa uwezo wa kuketi hapa kama Maseneta na kujadiliana na hatimaye kupitisha Mswada huu wa Constitution of Kenya (Amendment) Bill, 2020. Nina uhakika kwamba tutakapoenda kwa kura ya maoni, kazi tuliyofanya hapa imeonekana na kila mtu katika taifa letu la Kenya. Nimefurahi kwamba Maseneta wamendeleza majadiliano kwa hali ya ungwana bila kukosana na hatimaye kupiga kura na kupata muelekeo. Tumewaonyesha Wakenya muelekeo wa kufuata. Tutazidi kuwa himiza Wakenya mashhinani kupitisha Mswada huu utakapo pelekwa kwa kura ya maoni mashinani."
}