GET /api/v0.1/hansard/entries/1069697/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1069697,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1069697/?format=api",
"text_counter": 438,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Zawadi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13176,
"legal_name": "Christine Zawadi Gona",
"slug": "christine-zawadi-gona"
},
"content": "Bi Naibu Spika, asante sana kwa kunipa fursa hii ya kujiunga na wenzangu kupongeza Bunge la Seneti kwa kukubaliana na kupiga kura nzuri. Kila safari ya hatua mia huanza kwa hatua moja. Leo tumechukua hatua moja. Kwa niaba ya Kaunti ya Kilifi, nawashukuru Masenata kwa kupitisha Mswada huu. Kuna mengi ambayo tulikuwa hatupati kwa hivyo nina imani kuwa kupitisha Mswada huu, kuna mazuri mengi yatakayo fuata nyuma."
}