GET /api/v0.1/hansard/entries/1069737/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1069737,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1069737/?format=api",
"text_counter": 478,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Poghisio",
"speaker_title": "The Senate Majority Leader",
"speaker": {
"id": 202,
"legal_name": "Samuel Losuron Poghisio",
"slug": "samuel-poghisio"
},
"content": " Bi. Naibu Spika, kabla sijapendekeza majadiliano haya, ningependa kupendekeza kwamba Hoja yenyewe ingechapishwa kwa Kiswahili. Hivyo, sote tungejadiliana kwa Kiswahili. Kwa sababu imechapishwa kwa Kiingereza, inanibidi niisome kwa Kingereza. Hata hivyo, ninaomba Seneta wa Kaunti ya Kilifi mwenye Kiswahili safi ndiye ataunga mkono nikishapendekeza. Madam Deputy Speaker, I beg to move that pursuant to Standing Order No.24 (6), the thanks of the Senate be recorded."
}