GET /api/v0.1/hansard/entries/1069741/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1069741,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1069741/?format=api",
    "text_counter": 482,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Pareno",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13180,
        "legal_name": "Judith Ramaita Pareno",
        "slug": "judith-ramaita-pareno"
    },
    "content": "Hoja ya nidhamu, Bi. Naibu Spika. Ninaomba ikiwezeneka Kiongozi wa Walio Wengi katika Bunge la Seneti aendelee kwa Kiswahili kama alivyoanza. Sisi nasi tuujadili kwa heshima ya Mama wetu, Mtukufu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ingefaa sana kwa sababu ya kupenda vile alizuru Kenya na kwa heshima ya lugha yao na yetu ya Kiswahili. Pia, kwa heshima ya Kiswahili ambayo ni lugha ya Muungano wa Afrika Mashariki."
}