GET /api/v0.1/hansard/entries/1069755/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1069755,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1069755/?format=api",
"text_counter": 496,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bi. Naibu Spika, tunaelewa kwamba mipaka yetu na Tanzania imekuwa imara kwa miaka na miaka nyingi na itaendelea kuwa hivyo. Hatujui lakini tunaambiwa katika lugha ya dini kwamba maisha na maisha tutaendelea kuwa majirani. Rais Suluhu alituambia kuwa ikiwa wanyama wanaweza kuishi kama ndugu na kutembea pamoja--- Alitupatia mifano ya kwamba ikifika mwezi fulani mwakani, wanyama wa kiume"
}