GET /api/v0.1/hansard/entries/1069757/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1069757,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1069757/?format=api",
"text_counter": 498,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "huridhishwa sana kwa sababu wale wanyama wa Tanzania wa kike huwa wanavuka mto nakuja Kenya. Wanapata mimba na kurudi kwenda kuzalia huko kwao. Hatusemi kwamba wao wanakuwa wengi kwa kuwa wengine huwa wanabaki huku, na ndio jinsi ya watu wanaoishi pamoja kuweza kuelewana na kuishi kama ndugu na dada."
}