GET /api/v0.1/hansard/entries/1069763/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1069763,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1069763/?format=api",
"text_counter": 504,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bi Spika Muda, ningependa kuongeza zaidi kuwa isikuwe ya mwisho. Katika Kanuni za Seneti, ikiwa tunaweza kuruhusu mtu aanze kwa lugha ya Kiswahili ama Kiingereza na hawezi tafsiri neno katika lugha ya Kiingereza ama Kiswahili aweze kulisema kwa lugha yoyote. Kwa mfano katika sentensi anaweza kusema ‘ goodmorning ’ ikiwa hawezi kusema ‘habari ya asubuhi.’ Hufai kukosolewa kwamba"
}