GET /api/v0.1/hansard/entries/1069765/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1069765,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1069765/?format=api",
"text_counter": 506,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "umefanya makosa. Kuna ule uoga ya kwamba nikiongea hivi naweza kuongea makossa, kwa hivyo, afadhali niongee Kiingereza. Tukirekebisha taratibu zetu za Bunge, inaweza kuwa vizuri zaidi kwa sababu itapeana nafasi kwa Seneta yeyote ambaye ana uwezo wa kuongea, hatumaye akiona hataweza kumaliza sentensi kwa lugha ya Kiingereza anaweza kutumia lugha ya Kiswahili. Katika Bunge la Tanzania inakubaliwa kuanza kwa lugha ya Kiswahili kisha kutumia maneno ya Kiingereza. Tukirekebisha taratibu zetu itakuwa sawa."
}