GET /api/v0.1/hansard/entries/1069768/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1069768,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1069768/?format=api",
"text_counter": 509,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bi. Spika wa Muda, nataka nitie mkazo ya kwamba ile Hotuba ya Rais ilikuwa ya maana sana. Nilifurahishwa sana wakati aliposema akiwa huko Tanzania aliweza pia kutambua ya kwamba majina yetu huwa yanafanana. Sio ya wale Maasai peke yake lakini pia akatuambia ya kwamba kwa sababu yeye anatoka sehemu za kisiwani huko Zanzibar, kuna majina kama ya ndugu yetu ambaye tuko naye hapa, Sen. Mwinyihaji Faki. Alisema kuwa jina hilo pia linatoka katika kisiwa cha kule sijui ni Pemba ama ni Zanzibar. Huko nako ndiko wako na majina kama hayo. La mwisho---"
}