GET /api/v0.1/hansard/entries/1069770/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1069770,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1069770/?format=api",
"text_counter": 511,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bi Spika wa Muda, shukrani kwa kuniongoza. Nakumbuka alisema kwamba kule pia kuna majina ya Kikamba. Hata Kilonzo ama Musyoka, tunawezapata majina kama hayo. Sen. Mutula Kilonzo Jnr. anajua zaidi. Bi. Spika wa Muda, nawe pia unaelewa zaidi. Kwa hivyo, wale ambao tunaishi kama ndugu ni hususan kuona ya kwamba tunajisaidia wakati kama huu wa hili janga la Coronavirus disease (COVID-19). Kiswahili chetu ni lazima tukidumishe na tujivunie. Sio kwamba kama hujui Kiswahili ama Kizungu basi wewe sio Mkenya, kwa sababu hizi ndizo lugha zetu mbili za kitaifa."
}