GET /api/v0.1/hansard/entries/1069783/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1069783,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1069783/?format=api",
"text_counter": 524,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mutula Kilonzo Jnr.",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13156,
"legal_name": "Mutula Kilonzo Jnr",
"slug": "mutula-kilonzo-jnr"
},
"content": "Kuna jambo lililotajwa kwenye hotuba hii kwamba kule Tanzania kuna Kilonzo, Kioko na Maasai. Hii inamaanisha jamii za Tanzania na jamii za Wakenya mpakani ni familia moja. Wakati babake Gavana wa Makueni aliaga dunia mwaka 2014, tumlimzika karibu na Ziwa Chala, upande wa Tanzania. Tulipikiwa mapochopocho ya ajabu na Wanyamwezi. Walikuwa wametengamana na Wakenya."
}