GET /api/v0.1/hansard/entries/1069784/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1069784,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1069784/?format=api",
    "text_counter": 525,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mutula Kilonzo Jnr.",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13156,
        "legal_name": "Mutula Kilonzo Jnr",
        "slug": "mutula-kilonzo-jnr"
    },
    "content": "Wakati nilienda Kasigau kumzika mamake aliyekuwa Seneta wa Taita, Seneta Dan Mwazo, tulipikiwa na kukaa na Watanzania. Waliniambia kwamba katika eneo hilo wanapata huduma za hospitali kwa bei nafuu upande wa Tanzania. Sisi kama Wakenya tuna mambo mengi ambayo tunafaa kuyaiga kutoka kwa ndugu zetu Watanzania."
}