GET /api/v0.1/hansard/entries/1069787/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1069787,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1069787/?format=api",
"text_counter": 528,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mutula Kilonzo Jnr.",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13156,
"legal_name": "Mutula Kilonzo Jnr",
"slug": "mutula-kilonzo-jnr"
},
"content": "Ninamshukuru Rais Suluhu. Aendelee kutaja mijadala tuliyo nayo katika Seneti. Ninajua kwa hakika kwamba alikuwa anatazama mjadala wa Seneti. Tutaendelea vivyo hivyo na twaomba kwamba hivi karibuni, tutaona hao Marais wa Mataifa ya Rwanda, Burundi na Tanzania wakikaa pamoja. Hakuna haja sisi tutoke hapa, Kamati ya watu karibu ishirini wanaenda kuangalia ni kwa nini Kigali wamepanda nyasi barabarani, wamepanda miti au hakuna uchafu. Aaaaaiiih!"
}