GET /api/v0.1/hansard/entries/1069789/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1069789,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1069789/?format=api",
"text_counter": 530,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mutula Kilonzo Jnr.",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13156,
"legal_name": "Mutula Kilonzo Jnr",
"slug": "mutula-kilonzo-jnr"
},
"content": "Bi. Spika wa Muda, tukae chini kama watu ambao wanazungumza lugha moja; Warwanda wanazungumza Kiswahili na Waganda wanazungumza Kiswahili. Tuhakikishe kwamba twaweza kuzungumza Kiswahili tukiwa Rwanda, Tanzania na Uganda. Na tutafute nafasi kama Bunge pia tuwe tukifanya majadiliano katika nchi zetu ambazo hao watu wote ni ndugu na dada zetu. Asante kwa nafasi hii."
}