GET /api/v0.1/hansard/entries/1069790/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1069790,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1069790/?format=api",
"text_counter": 531,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Pareno",
"speaker_title": "The Temporary Speaker",
"speaker": {
"id": 13180,
"legal_name": "Judith Ramaita Pareno",
"slug": "judith-ramaita-pareno"
},
"content": " Sen. Mutula Kilonzo Jnr., leo umejaribu kuzungumza Kiswahili kabisa. Nakumbuka Mheshimiwa Rais Suluhu Hassan alisema kwamba anapenda kutazama mijadala kwa sababu ya vile tunaongea Kiswahili. Kwa hivyo, naomba ikiwezekana, tujaribu kwa raha zake na kwa heshima zake kuongea kwa Kiswahili. Karibu, Sen. Wako."
}