GET /api/v0.1/hansard/entries/1069803/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1069803,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1069803/?format=api",
"text_counter": 544,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Pareno",
"speaker_title": "The Temporary Speaker",
"speaker": {
"id": 13180,
"legal_name": "Judith Ramaita Pareno",
"slug": "judith-ramaita-pareno"
},
"content": " Maombi ya kuahirisha mjadala huu ni muhimu kwa sababu Maseneta wengi wangependa kuchangia kuhusu hotuba ya Rais wa Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan. Kwa hivyo, mjadala huu unafaa kuahirishwa hadi wakati mwingine utakapowekwa kwenye Order Paper ."
}