GET /api/v0.1/hansard/entries/1069976/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1069976,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1069976/?format=api",
    "text_counter": 166,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kilifi South, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Ken Chonga",
    "speaker": {
        "id": 13374,
        "legal_name": "Richard Ken Chonga Kiti",
        "slug": "richard-ken-chonga-kiti"
    },
    "content": "Pili, Wabunge wengi wamesema hapa kuwa angalau, kazi za Wabunge zitakuwa zinaonekana. Lakini, mbali na hilo, pia hii itapatia mwanachi nafasi ya kuchagua kati ya stesheni zinazotangaza jumbe, ni stesheni ipi angetaka kufuatiliza ili kuelewa yanayojiri na The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}