GET /api/v0.1/hansard/entries/1069978/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1069978,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1069978/?format=api",
"text_counter": 168,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "yanayoendelea katika taifa hili. Mimi na wewe tunafahamu hivo. Kuna stesheni zingine ambazo yale wanayopeperusha ni mambo ya aibu, ya kuvunja moyo na ambayo huwezi keti na watoto wako kama familia kutazama. Lakini hii ni stesheni mmoja ambayo wengi wataitazama. Kwa mfano, mimi kama Mbunge sasa hivi, nafikiria kuwa familia yangu ingetaka kujua ni maswala yapi ambayo nayafuatilia ndani ya Bunge."
}