GET /api/v0.1/hansard/entries/1069979/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1069979,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1069979/?format=api",
    "text_counter": 169,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Ingewezekana, Mhe. Naibu Spika wa Muda, ungeniongezea muda manake naona muda wangu umeyoyoma. Hata hivyo, langu mimi ni kuwaomba na kuwasishi Wabunge kama vile wameunga mkono, tafadhali tuzidi kuipatia Kamati hii motisha ili yanayohitajika haswa fedha, bajeti inafaa kuanganzia hili ili kuhakisha kwamba kituo hiki kinazinduliwa. Kusema ukweli, Mhe. Kizito ameweza kupiga hatua kubwa sana na ingekuwa bora kama hatua hii …"
}