GET /api/v0.1/hansard/entries/1071115/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1071115,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1071115/?format=api",
"text_counter": 59,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kipipiri, JP",
"speaker_title": "Hon. Amos Kimunya",
"speaker": {
"id": 174,
"legal_name": "Amos Muhinga Kimunya",
"slug": "amos-kimunya"
},
"content": " Mhe. Naibu Spika, naomba kutoa Arifa ya Hoja ifuatayo: KWAMBA, kwa mujibu wa Kanuni ya 25 (Mgeni Mashuhuri), Shukrani za Bunge la Taifa zinakiliwe kwa ajili ya Hotuba ya Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, iliyotolewa katika Kikao Cha Pamoja cha Bunge la Jamhuri ya Kenya, mnamo Jumatano, tarehe 5, Mei, 2021."
}