GET /api/v0.1/hansard/entries/1071125/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1071125,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1071125/?format=api",
"text_counter": 69,
"type": "speech",
"speaker_name": "Soy, JP",
"speaker_title": "Hon. Caleb Kositany",
"speaker": {
"id": 13483,
"legal_name": "Caleb Kipkemei Kositany",
"slug": "caleb-kipkemei-kositany"
},
"content": " Ni kwa sababu ulikuwa unamsikiza Mbunge wa Marakwet. Nimesema Mbunge wa Kipipiri ambaye pia ni Kiongozi wa Chama cha Walio Wengi katika taarifa yake amesema kwamba angependa tujionyeshe. Lakini hajafafanua vipi kama ni kwa vitendo ama mavazi, pengine ni Kiswahili kimemchanganya."
}