GET /api/v0.1/hansard/entries/1071133/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1071133,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1071133/?format=api",
    "text_counter": 77,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Deputy Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Lakini wakati tutaanza majadiliano naomba ukae karibu na Kamusi ili upige msasa lugha yako, ndiyo mambo yaende kwa njia… Sisemi umezungumza vibaya lakini nawaambia Wabunge wote walio hapa waendelee kupiga msasa lugha ili ikifika wakati wa kuchangia wafanye hivyo kwa njia nzuri. Hoja gani? Kuna hoja nyingi za nidhamu. Sielewi. Huyu ni Mhe. Kathuri. Hebu nisikie una Hoja gani Mhe. Kathuri."
}