GET /api/v0.1/hansard/entries/1071134/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1071134,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1071134/?format=api",
"text_counter": 78,
"type": "speech",
"speaker_name": "South Imenti, Independent",
"speaker_title": "Hon. Kathuri Murungi",
"speaker": {
"id": 2802,
"legal_name": "Kathuri Murungi",
"slug": "kathuri-murungi"
},
"content": " Asante sana, Mhe. Naibu Spika. Tulipozindua Kanuni mpya za Bunge, yani Standing Orders, tulisema kwamba siku ya Alhamisi tutakuwa tukiongea kwa Kiswahili katika Bunge hili. Ninaomba turudie tena hivyo tu. Siku ya Alhamisi asubuhi huwa tuna mijadala ya Wabunge binafsi tuwe tunajadili katika lugha ya Kiswahili ndio wale wanaotupigia kura waweze kufuata ile kazi tunafanya hapa Bungeni."
}