GET /api/v0.1/hansard/entries/1071135/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1071135,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1071135/?format=api",
    "text_counter": 79,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Deputy Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Hiyo ni sawa lakini hamna Mjumbe ambaye amekatazwa kuzungumza kwa lugha ya Kiswahili. Najua kwamba tulichanganywa na mambo ya korona na mambo mengine kama hayo na hata sijapata kujua Mjumbe mmoja ambaye amesema hiyo ‘Corona’ tutaiitaje kwa Kiswahili lakini tuendelee. Let us go to the next Order. Order, Hon. Millie Odhiambo. There is nothing called ‘hoja ya madamu’. It is only ‘hoja ya nidhamu’."
}