GET /api/v0.1/hansard/entries/1071669/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1071669,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1071669/?format=api",
"text_counter": 291,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Kwa muktasari, hayo ndio mambo ambayo nimeweza kupitia katika ripoti hii. Kamati Teule imethibitisha kwamba shtaka moja limeweza kuthibitishwa. Hii ina maana kwamba sisi kama Maseneta, tunapaswa kukubaliana na ripoti ya Kamati hiyo kwa sababu wameweza kuthibitisha kwamba kumekuwa na ubadhirifu wa fedha katika Kaunti ya Wajir kiasi ya kukosekana baadhi ya huduma za afya katika kaunti ile."
}