GET /api/v0.1/hansard/entries/1071775/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1071775,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1071775/?format=api",
"text_counter": 23,
"type": "speech",
"speaker_name": "Wundanyi, WDM-K",
"speaker_title": "Hon. Danson Mwashako",
"speaker": {
"id": 13509,
"legal_name": "Danson Mwashako Mwakuwona",
"slug": "danson-mwashako-mwakuwona"
},
"content": "wanasema hawana pesa za kufidia lakini wakati SGR ikijengwa, KWS ilifidiwa karibu Kshs6 bilioni. Pesa zile wao wakatumia kwa mambo yao badala ya kufidia wananchi. Kwa hivyo Mheshimiwa Spika swala hili ni la msingi na ni zito ambalo nchi hii yatakana iangazie. Asante, Mheshimiwa Spika."
}