GET /api/v0.1/hansard/entries/1072191/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1072191,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1072191/?format=api",
"text_counter": 41,
"type": "speech",
"speaker_name": "Taveta CWR, JP",
"speaker_title": "Mhe. (Dkt) Naomi Shaban",
"speaker": null,
"content": "Mhe. Spika, naomba kumalizia hapo kwa hayo machache na kumshukuru Mwenyezi Mungu kuwa Bunge hili, limekuja kusalimiwa na mama mmoja ambaye amepata nafasi ya kuwa Rais barani Africa, na si Africa tu, bali Afrika Mashariki. Naafikiana na Kiongozi wa Walio Wengi hapa Bungeni."
}